- kipaimara
- [Swahili Word] kipaimara[Swahili Plural] vipaimara[English Word] confirmation[English Plural] confirmations[Part of Speech] noun[Class] 7/8[Derived Language] Swahili[Derived Word] kipa, imara[Swahili Definition] Siku ya Kipaimara ni siku ambayo watoto wenye umri wa miaka kumi na zaidi wanapokelewa rasmi katika kanisa kama wakristu kamili.[Moshi, KIKO Online][Terminology] Christian------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.